Mkuu wa ulinzi nchini Libya amesema:Milipuko hiyo imetokea katika Mahakama iliopo mjini Binghazi Mashariki mwa Libya. Milipuko milipuko hiyo imepelekea kujeruhi mtu mmoja na kusababisha hasara kubwa katika mahakama hiyo .Nae ameongeza kusema kuwa idadi ya mabumu yaliokuwa yametegwa yalikua matatu na kulipua Mahakama hiyo.
26 Aprili 2012 - 19:30
Msimbo wa Habari: 311540
Mkuu wa ulinzi nchini Libya amesema:Milipuko hiyo imetokea katika Mahakama iliopo mjini Binghazi Mashariki mwa Libya.